Kwa hakika Allah anaamuru uadilifu, na ihsani, "
Kwa hakika Allah anaamuru uadilifu, na ihsani, na kuwapa (sadaka) ndugu wa karibu na anakataza uchafu, na uovu, na uasi. Anawanasihini ili mpate kukumbuka
558
Video zenye uhusiano
Tazama video nyingine kuhusu mada hiyo hiyo
