Watasema waliomshirikisha Allah kwamba: Lau kama angetaka Allah

Watasema waliomshirikisha Allah kwamba: Lau kama angetaka Allah

Watasema waliomshirikisha Allah kwamba: Lau kama angetaka Allah

60 49

Watasema waliomshirikisha Allah kwamba: Lau kama angetaka Allah tusingefanya ushirikina sisi wala baba zetu, na tusingeharamisha kitu chochote. Kama hivyo walipinga waliokuwepo kabla yao mpaka wakaonja adhabu yetu. Sema (uwaulize): Je, mnayo elimu (
ushahidi na hoja) yoyote ya hilo mtutolee (mtuoneshe)? Hamna chochote mkifuatacho isipokuwa dhana tu, na hamkuwa nyinyi ila mnaropoka tu  

related cards

Browse Islamic cards

icon

Subscribe To Get New Updates