Unapompenda Allah kwa dhati ya ukweli, hauhitajiki kufanya kazi ya ushawishi ili ukubaliwe na watu, bali Allah mwenyewe mwingi wa rehema atakupa upendo wake kwa hali usiyo itegemea na kukupa mafanikio makubwa katika maisha.
MAZINGATIO:
Mapenzi ya Allah, Mwingi wa rehema ni makubwa kuliko chochote
Kadi zenye uhusiano
Tazama kadi