​Qur’an haifiki kwako kama fikra ya ghafla,."

​Qur’an haifiki kwako kama fikra ya ghafla,."

​Qur’an haifiki kwako kama fikra ya ghafla,."

117 93

Qur’an haifiki kwako kama fikra ya ghafla, bali inafika kama mvua inayo huisha yale yote uliyo kuwa unadhania kuwa yame toweka kwako.

MAZINGATIO:

Ni wajibu kuuitikia wito wa Qur’an unapo kufikia

Kadi zenye uhusiano

Tazama kadi

icon

Shiriki