​Na Dhun-Nun alipo ondoka hali ameghadhibika, na akadhani ya kwamba .."

​Na Dhun-Nun alipo ondoka hali ameghadhibika, na akadhani ya kwamba .."

​Na Dhun-Nun alipo ondoka hali ameghadhibika, na akadhani ya kwamba .."

36 7

Na Dhun-Nun alipo ondoka hali ameghadhibika, na akadhani ya kwamba hatutakuwa na uwezo juu yake. Basi aliita katika giza: Hapana mungu isipo kuwa Wewe Subhanaka Uliye takasika. Hakika mimi nilikuwa miongoni mwa wenye kudhulumu Basi tukamwitikia na tuka-muokoa kutokana na dhiki. Na hivyo ndivyo tunavyo waokoa Waumini

Kadi zenye uhusiano

Tazama kadi

icon

Shiriki