Enyi miloamini, kuweni wasimamizi (wa haki) kwa ajili ya Allah."

Enyi miloamini, kuweni wasimamizi (wa haki) kwa ajili ya Allah."

Enyi miloamini, kuweni wasimamizi (wa haki) kwa ajili ya Allah."

99 7

Enyi miloamini, kuweni wasimamizi (wa haki) kwa ajili ya Allah, mtoao ushahidi kwa uadilifu. Na kuwachukia (watu) kusikupelekeeni kutofanya uadilifu. Fanyeni uadilifu (kwa watu wote). Hilo ndilo lililo karibu zaidi (kufikisha) kwenye uchamungu. Na mcheni Allah. Hakika, Allah anayajua mnayoyatenda

Shiriki