Ahadi njema iliyopo katika maisha yako ni kuona kuwa Allah Mtukufu amesema:“Niombeni” katika hali ambayo hakuna kizuwizi wala mlango ulio fungwa kati yako na kati yake, bali anakupa ahadi njema ya kukupa mafanikio.MAZINGATIO:Dua (maombi) ni nuru ya Qur’an.
Kadi zenye uhusiano
Tazama kadi