​Ahadi njema iliyopo katika maisha yako ni kuona kuwa Allah Mtukufu amesema

​Ahadi njema iliyopo katika maisha yako ni kuona kuwa Allah Mtukufu amesema

​Ahadi njema iliyopo katika maisha yako ni kuona kuwa Allah Mtukufu amesema

18 7

Ahadi njema iliyopo katika maisha yako ni kuona kuwa Allah Mtukufu amesema:“Niombeni” katika hali ambayo hakuna kizuwizi wala mlango ulio fungwa kati yako na kati yake, bali anakupa ahadi njema ya kukupa mafanikio.MAZINGATIO:Dua (maombi) ni nuru ya Qur’an.

Kadi zenye uhusiano

Tazama kadi

icon

Shiriki