​Na Mola wako Mlezi ameam-risha kuwa msimuabudu yeyote ila Yeye tu, "

​Na Mola wako Mlezi ameam-risha kuwa msimuabudu yeyote ila Yeye tu, "

​Na Mola wako Mlezi ameam-risha kuwa msimuabudu yeyote ila Yeye tu, "

120 86

Na Mola wako Mlezi ameam-risha kuwa msimuabudu yeyote ila Yeye tu, na wazazi wawili muwa-tendee wema. Mmoja wao akifikia uzee, naye yuko kwako, au wote wawili, basi usimwambie hata: Ah! Wala usiwakemee. Na sema nao kwa msemo wa heshima

Na uwainamishie bawa la unyenyekevu kwa kuwaonea huruma. Na useme: Mola wangu Mlezi! Warehemu kama walivyo nilea utotoni

related cards

Browse Islamic cards

icon

Subscribe To Get New Updates