Qur’an kabla haijaamrisha sala, imeusia kuwafanyia wema wazazi.
Kwani kuwafanyia wema wazazi siyo tu ni uzuri tunao urudisha, bali ni shukurani ya maisha inayo tuzawadia baraka ya kila kitu.
MAZINGATIO:
Kuwafanyia wema wazazi ndiyo rehema
Kadi zenye uhusiano
Tazama kadi