Mtume hakutumwa kuja kuwalazimisha watu kuamini, bali kuufikisha ."

Mtume hakutumwa kuja kuwalazimisha watu kuamini, bali kuufikisha ."

Mtume hakutumwa kuja kuwalazimisha watu kuamini, bali kuufikisha ."

15 8

Mtume hakutumwa kuja kuwalazimisha watu kuamini, bali kuufikisha ujumbe wa Allah.

Na kila mtu ana uhuru wa kuchagua njia yake yeye mwenyewe itakayo mfikisha mbele ya Allah.

Huu ndiyo uhuru ambao hauiondoshi imani, bali unaikamilisha.

MAZINGATIO:

Uhuru wa kweli ni kuitangaza haki

Kadi zenye uhusiano

Tazama kadi

icon

Shiriki