​Kwa hakika kabisa, katika simulizi zao (hao Mitume) kuna mazingatio."

​Kwa hakika kabisa, katika simulizi zao (hao Mitume) kuna mazingatio."

​Kwa hakika kabisa, katika simulizi zao (hao Mitume) kuna mazingatio."

18 10

Kwa hakika kabisa, katika simulizi zao (hao Mitume) kuna mazingatio kwa wenye akili. Haikuwa (hii Qur’an ni) maneno yanayozushwa lakini ni usadikisho (uthibitisho) wa (maandiko matakatifu) yaliyokuwepo kabla yake (Taurati na Injili) na ni ufafanuzi wa kila kitu na ni muongozo na rehema kwa watu wanaoamini

Kadi zenye uhusiano

Tazama kadi

icon

Shiriki