Ni nani atakaye tamani kurudi duniani bila ya kujua mafikio yake ya Akhera?!
Maisha ya dunia ndiyo fursa nzuri ya kutenda, ambayo haina badala.
Matendo yako ya sasa ndiyo yatakuwa kipimo cha mafikio yako katika siku ya ahadi (kiyama).
MAZINGATIO:
Akhera inahitajia kufikiria kabla ya kujuta.
Kadi zenye uhusiano
Tazama kadi