Qur’an na Sala ni miongoni mwa ibada zenye athari kubwa katika maisha yetu.
Ibada hizo mbili ni taa inayo angaza njia.
Na sala ni ibada maalumu ambayo inatukataza tusifanye uchafu na maovu.
Na ibada ya dhikri (kumkumbuka na kumtaja Allah) inaufanya moyo kuwa na utukufu na kuufungamanisha na Allah daima.
MAZINGATIO:
Dhikri na Sala ni miongoni mwa ibada zinazo mfikisha mtu kwenye uchamungu
Kadi zenye uhusiano
Tazama kadi