​Ndoa katika Uislamu imesimama juu ya misingi ya usafi ."

​Ndoa katika Uislamu imesimama juu ya misingi ya usafi ."

​Ndoa katika Uislamu imesimama juu ya misingi ya usafi ."

26 17

Ndoa katika Uislamu imesimama juu ya misingi ya usafi na heshima, na si juu ya misingi ya upuuzi na matamanio holela.

Ni mkataba wa kimajukumu unao linda heshima na kutimiza haki.

MAZINGATIO:

Ndoa ni jukumu la kusimamia haki na utekelezaji wa thamani ya uislamu

Kadi zenye uhusiano

Tazama kadi

icon

Shiriki