Dunia kwa hali yoyote itakavyo kudanganya, bado itabakia tu kuwa ni upuuzi na mchezo.
Ama utukufu wenye kubaki, ni kwa yule atakaye ishi kwa uchamungu, anaye jua kuwa njia ya kumtii Allah ndio chumo bora la kushikamana nalo.
MAZINGATIO:
Njia ya kuokoka ipo katika kuzinduka kwa roho katika kufanya mema
Kadi zenye uhusiano
Tazama kadi