Maisha haya ya duniani ni mafupi sana vyovyote vile yatakavyo refuka. Na lengo kuu si kupata mapambo ya dunia, bali ni kupata mafikio mazuri ambayo haya kimbiliki.
Kumbuka kuwa udanganyifu mkubwa upo katika kushughulishwa na vitu vya muda mfupi na kujisahau kushughulishwa na vitu vya kudum milele!
MAZINGATIO:
Ni wajibu kuchukua mazingatio katika kujiandaa na maisha ya akhera
Kadi zenye uhusiano
Tazama kadi