Allah hamtelekezi mwenye kusubiri, bali huwa pamoja naye katika dhiki zake na masikitiko yake yanayomtoa machozi, na katika kila sijda anayo ifanya mja mwema huwa kuna matarajio makubwa ya msaada wa Allah.
MAZINGATIO:
Allah yu pamoja na wanao subiri
Kadi zenye uhusiano
Tazama kadi