Allah anao uwezo wa kuwalazimisha watu wote waliomo ardhini kuamini, lakini amempa kila mtu uhuru wa kuchagua.
Na atawahesabu kila mmoja wao siku ya kiama
. Kwa hiyo, hakuna sheria ya kulazimisha kuingia katika Dini (japokuwa haki ipo katika umma wa Nabii Muhammad rehma na amani ziwe juu yake).
Kadi zenye uhusiano
Tazama kadi