Lau kama watu watasimama sawasawa katika njia iliyo nyooka (Uislamu), basi watapata baraka nyingi kutoka kwa Allah, lakini kuacha kumkumbuka Yeye ni sababu ya kupata adhabu.
MAZINGATIO:Umuhimu wa kusimama sawasawa katika njia sahihi(Uislamu) na kutubu.
Kadi zenye uhusiano
Tazama kadi