Mwenye kuzuia mkono wake kwa kutofanya kheri na akafanya maovu, basi huyo ndio aliye msahau Allah.
Malipo yake naye atatelekezwa na Allah katika mambo yake na shida zake.
tujaalie katika watu wenye kutenda mema na utiifu.MAZINGATIO:Umuhimu wa kulingania katika kheri na utiifu.
Kadi zenye uhusiano
Tazama kadi