Mwenye kulingania katika dini ya Allah na akatenda mema, ni mtu aliye karibu sana na watu na anaye jikurubisha kwa Allah.
Kupitia ulinganiaji wake jamii huongoka na baraka huenea.
tujaalie tuwe miongoni mwa watu hao.
Ewe Allah!MAZINGATIO:Katika mambo muhimu ya imani ni kulingania katika dini ya Allah.
Kadi zenye uhusiano
Tazama kadi