Na lau ingekuwepo katika karine za kabla yenu masalia ya watu wa kheri wanakataza maovu ardhini, (lakini hawakuwepo miongoni mwa watu wa kheri) isipokuwa wachache tu.
Miongoni mwa (walioamini) tuliowaokoa kutoka kwenye adhabu.
Na wale waliodhulumu wakafuata starehe zao walizoneemeshwa, na wakawa waovu
Na hakuwa Mola wako mlezi ni mwenye kuangamiza watu wa miji kwa dhulma tu na hali watu wake ni watenda mema
Kadi zenye uhusiano
Tazama kadi