Katika aina kubwa za khiyana ni kuipoteza amana unayojua ipo juu ya dhimma yako.
Muumini mkweli hamfanyii khiyana mtu aliyemuamini, wala hapuuzi juu ya kuchunga amana aliyo aminiwa kuichunga.
MAZINGATIO:
Ni wajibu kujipamba na tabia ya Uaminifu
Kadi zenye uhusiano
Tazama kadi