Kumfanyia wema jirani ni miongoni mwa tabia njema zilizo."

Kumfanyia wema jirani ni miongoni mwa tabia njema zilizo."

Kumfanyia wema jirani ni miongoni mwa tabia njema zilizo."

47 2

Kumfanyia wema jirani ni miongoni mwa tabia njema zilizo sisitizwa na dini yetu tukufu ya Uislamu.

Haki za jirani, haziishii kwa jirani aliye ndugu tu, bali zimekusanya  hata jirani wa mbali.

Hivyo basi, ni wajibu wetu kuzifanya rehema za Allah na uadilifu wake ndiyo msingi wa kuamiliana kwetu katika maisha yetu ya kila siku.

Tunachojifunza:

Kuchunga haki za jirani ni katika wema wa Uislamu.

Kadi zenye uhusiano

Tazama kadi

icon

Shiriki