​Kujiepusha na upuuzi ni miongoni mwa tabia njema za waja wa Allah.

​Kujiepusha na upuuzi ni miongoni mwa tabia njema za waja wa Allah.

​Kujiepusha na upuuzi ni miongoni mwa tabia njema za waja wa Allah.

27 9

Kujiepusha na upuuzi ni miongoni mwa tabia njema za waja wa Allah.

Hivyo, tunawajibika kuwajibu wajinga, wanapo tusemeza ubaya: “Sisi tuna vitendo vyetu na nyinyi mna vitendo vyenu, hatutaki mijadala na wajinga”.

Tunajifunza kuwa:

Amani ndio njia yetu, na

adabu bora ya kujitenga na upuuzi ni amani.

Kadi zenye uhusiano

Tazama kadi

icon

Shiriki