​Ole wake kila mwenye kufanya matamanio yake ni mungu,."

​Ole wake kila mwenye kufanya matamanio yake ni mungu,."

​Ole wake kila mwenye kufanya matamanio yake ni mungu,."

39 8

Ole wake kila mwenye kufanya matamanio yake ni mungu, na hiyo ndio njia ya upotofu.

Tunawajibika sisi kukumbushana na kupeana nasaha, kwani kila mtu ataulizwa kuhusu utashi wake mbele ya Allah.

Tunajifunza kuwa:

Ni wajibu kulingania haki, na kutahadhari juu ya kufuata matamanio.

Kadi zenye uhusiano

Tazama kadi

icon

Shiriki