​Matamanio huvutia nyoyo kupenda mali, watoto na vipambo."

​Matamanio huvutia nyoyo kupenda mali, watoto na vipambo."

​Matamanio huvutia nyoyo kupenda mali, watoto na vipambo."

24 8

Matamanio huvutia nyoyo kupenda mali, watoto na vipambo vya dunia(wanawake nk) lakini vyote hivyo ni starehe ya muda tu.

Ama marejeo mema yapo kwa Allah kwa kila mwenye kutakasa niya na kufanya juhudi.

Tunajifunza kuwa:

Kutakasa niya, ndiyo mafanikio ya kweli.

Kadi zenye uhusiano

Tazama kadi

icon

Shiriki