​Katika nyakati nzito kimaisha na dhiki, kumtegema Allah ndiyo suluhisho."

​Katika nyakati nzito kimaisha na dhiki, kumtegema Allah ndiyo suluhisho."

​Katika nyakati nzito kimaisha na dhiki, kumtegema Allah ndiyo suluhisho."

26 6

Katika nyakati nzito kimaisha na dhiki, kumtegema Allah ndiyo suluhisho.

Kama alivyo mwokoa Dhun-Nun katika viza vya samaki, ndivyo anavyo mwokoa kila mwenye imani na kuomba msaada wake.

Tunajifunza kuwa:

Kumtegemea Allah ni suluhisho la mafanikio.

Kadi zenye uhusiano

Tazama kadi

icon

Shiriki