Kukimbilia msamaha wa Allah na Pepo yake tukufu kwa kutoa,."

Kukimbilia msamaha wa Allah na Pepo yake tukufu kwa kutoa,."

Kukimbilia msamaha wa Allah na Pepo yake tukufu kwa kutoa,."

25 5

Kukimbilia msamaha wa Allah na Pepo yake tukufu kwa kutoa, kusubiri, kuzuia hasira, ni miongoni mwa sifa za Wachamungu. Na mwenye kusamehe watu hupata mapenzi ya Allah.

Tunajifunza kuwa:

Kushikamana na tabia hizi njema ni njia ya kupata msamaha wa Allah na Pepo yake.

Kadi zenye uhusiano

Tazama kadi

icon

Shiriki