Mchezaji wakati mwingine anashindwa kwenye mashindano

Mchezaji wakati mwingine anashindwa kwenye mashindano

Mchezaji wakati mwingine anashindwa kwenye mashindano

33 29

Mchezaji wakati mwingine anashindwa kwenye mashindano, kisha anarudi tena kwa nguvu kubwa.

Hivyo hivyo, hata mwanadam anaweza kuanza upya katika harakati zake za maisha anapokutana na changamoto yoyote.

Tambua kuwa Qur’an haijaufunga mlango wa matumaini, hivyo usikate tamaa!

Shiriki