Na Mola wenu Mlezi anasema: Niombeni nitakuitikieni.

Na Mola wenu Mlezi anasema: Niombeni nitakuitikieni.

 Na Mola wenu Mlezi anasema: Niombeni nitakuitikieni. Kwa hakika wale ambao wanajivuna na (hawataki) kuniabudu Mimi wataingia Jahannamu wadhalilike   Allah aliyekufanyieni usiku ili mpate kutulia humo, na mchana wa kuonea. Hakika Allah bila ya shaka ni Mwenye fadhila juu ya watu, lakini watu wengi hawashukuru [Corán 40:60-61]

18 9

Shiriki