Kujiepusha na upuuzi ni miongoni mwa tabia njema za waja wa Allah..
Kujiepusha na upuuzi ni miongoni mwa tabia njema za waja wa Allah.
Hivyo, tunawajibika kuwajibu wajinga, wanapo tusemeza ubaya: “Sisi tuna vitendo vyetu na nyinyi mna vitendo vyenu, hatutaki mijadala na wajinga”.
Tunajifunza kuwa:
Amani ndio njia yetu, na adabu bora ya kujitenga na upuuzi ni amani.
20
9
Albam zenye uhusiano
Chunguza albam