Enyi mlioamini, msiwafanye Wayahudi na Wanaswara marafiki
Enyi mlioamini, msiwafanye Wayahudi na Wanaswara marafiki wa ndani. Wao ni marafiki wa ndani wa wao kwa wao. Na yeyote mwenye kufanya urafiki nao wa ndani miongoni mwenu, basi huyo ni katika wao. Hakika, Allah hawaongoi watu madhalimu |
22
10
Albam zenye uhusiano
Chunguza albam