Anapo kuudhi mtu, haifai kumfanyia ubaya mfano wake."
Anapo kuudhi mtu, haifai kumfanyia ubaya mfano wake. Bali inawezekana kwako kuhifadhi haki yako bila ya ugomvi, na kuacha fursa ya suluhu kuchukua mkondo wake.
Mara nyingi uhasama hubadilika, unapokutana na mtazamo wa ukarimu, na kuanza upya kati yenu maongezi mazuri ambayo hayakutarajiwa kabla yake!
MAZINGATIO:
Wema huondoa uadui
2
1
related albums
Browse Islamic albums