Allah hawalazimishi watu kuamini, bali amewaacha

Allah hawalazimishi watu kuamini, bali amewaacha

Allah hawalazimishi watu kuamini, bali amewaacha huru katika kuchagua kwao kati ya haki na batili.

Basi, Sisi tuchague imani kwa utashi wetu, na tuwe ni wenye kushikamana na maamrisho ya Mola wetu Mlezi ili tufanikiwe duniani na Akhera.

22 12

Albam zenye uhusiano

Chunguza albam

Albamu

Shiriki