Anapitisha mambo yote yaliyo baina ya mbingu na ardhi,"
Anapitisha mambo yote yaliyo baina ya mbingu na ardhi, kisha yanapanda kwake kwa siku ambayo kipimo chake ni miaka elfu kwa mnavyo hesabu nyinyi
Huyu ndiye Mwenye kuyajua yasiyo onekana na yanayoonekana. Mwenye nguvu, Mwenye kurehemu
94
Video zenye uhusiano
Tazama video nyingine kuhusu mada hiyo hiyo