Basi (Yule mpekuzi) alianza kwenye mizigo yao kabla ya mzigo wa ndugu yake."

Basi (Yule mpekuzi) alianza kwenye mizigo yao kabla ya mzigo wa ndugu yake."

Basi (Yule mpekuzi) alianza kwenye mizigo yao kabla ya mzigo wa ndugu yake. Kisha alilitoa (bakuli lililoibwa) kutoka katika mzigo wa ndugu yake. Hivi ndivyo tulivyomfunza Yusuf mbinu (ya kubaki na nduguye). Asingeweza kumchukua ndugu yake kwa sharia ya mfalme isipokuwa kwa matakwa ya Allah. Tunawainua daraja nyingi tuwatakao na juu ya kila anayejua yupo anayejua zaidi

22
Video Translations
Kupakua
  • Hd Version ( Google Drive )
Viambatanisho

Shiriki