​Ni Allah aliye kufanyieni ardhi kuwa ni pahala pa kukaa,"

​Ni Allah aliye kufanyieni ardhi kuwa ni pahala pa kukaa,"

Ni Allah aliye kufanyieni ardhi kuwa ni pahala pa kukaa, na mbingu kuwa dari. Na akakutieni sura, na akazifanya nzuri sura zenu, na akakuruzukuni vitu vizuri. Huyo ndiye Allah Mola wenu Mlezi. Basi ametukuka Allah Mola Mlezi wa walimwengu wote

13
Video Translations
Kupakua
  • Hd Version ( Google Drive )
Viambatanisho

Shiriki