Na siku ambayo mwenye kudhulumu atajiuma mikono yake,"
Na siku ambayo mwenye kudhulumu atajiuma mikono yake, na huku anasema: Laiti ningeli shika njia pamoja na Mtume!
Ee ole wangu! Laiti nisingeli mfanya fulani kuwa rafiki!
Amenipoteza, nikaacha Ukumbusho, baada ya kwisha nijia, na kweli Shet’ani ni khaini kwa mwanaadamu
66
Video zenye uhusiano
Tazama video nyingine kuhusu mada hiyo hiyo