​Na miongoni mwa watu kuna wanaofanya washirika badala ya."

​Na miongoni mwa watu kuna wanaofanya washirika badala ya."

Na miongoni mwa watu kuna wanaofanya washirika badala ya (kumuamini) Allah (pekee); wanawapenda kama wampendavyo Allah. Na walioamini wanampenda zaidi Allah. Na laiti waliodhulumu wangejua watakapoiona adhabu kwamba, nguvu zote ni za Allah, na kwamba, Allah ni mkali wa kuadhibu

129
Video Translations
Kupakua
  • Hd Version ( Google Drive )
Viambatanisho

Video zenye uhusiano

Tazama video nyingine kuhusu mada hiyo hiyo

icon

Shiriki