Waumini wasiwafanye makafiri kuwa vipenzi vyao badala ya Waumini"
Waumini wasiwafanye makafiri kuwa vipenzi vyao badala ya Waumini (wenzao). Na atakayefanya hilo, basi hana chochote mbele ya Allah, isipokuwa kwa kujikinga dhidi ya shari zao. Na Allah anakutahadharisheni nafsi yake. Na kwa Allah tu ndio marejeo
Sema: Mkiyaficha yaliyomo vifuani mwenu au mkiyadhihirisha Allah anayajua, na anayajua yaliyomo mbinguni na yaliyomo ardhini, na Allah ni Mwenye uweza mkubwa wa kila kitu
22
Video zenye uhusiano
Tazama video nyingine kuhusu mada hiyo hiyo