Na Hakika Tumeirahisisha Qur’an Kwa Ajili Ya Ukumbusho.."
Na Hakika Tumeirahisisha Qur’an Kwa Ajili Ya Ukumbusho Je Kuna Mwenye kukumbuka?
Kina ‘Aad walikadhibisha, basi vipi ilikuwa adhabu Yangu na maonyo Yangu?
Hakika Sisi Tumewapelekea upepo wa kimbunga wenye sauti kali na baridi kali katika siku korofi yenye kuendelea mfululizo
Unawang’oa watu kana kwamba vigogo vya mtende vilong’olewa
Basi vipi ilikuwa adhabu Yangu na maonyo Yangu?
10
Video zenye uhusiano
Tazama video nyingine kuhusu mada hiyo hiyo