Allah ni Mwenye kuwanusuru wale walioamini;.."
Allah ni Mwenye kuwanusuru wale walioamini; huwatoa gizani na kuwapeleka kwenye mwangaza. Na ambao wamekufuru, watetezi wao ni Matwaghuti; huwatoa katika nuru na kuwaingiza kwenye giza. Hao ndio watu wa Motoni, wao humo watasalia milele
380
Video zenye uhusiano
Tazama video nyingine kuhusu mada hiyo hiyo