Watakapokujia wanafiki wanasema: ."
Watakapokujia wanafiki wanasema: Tunashuhudia kwamba wewe bila ya shaka yoyote ni Mtume wa Allah. Na Allah Anajua kuwa hakika wewe ni Mtume Wake, na Allah anashuhudia kuwa kwa hakika kabisa wanafiki ni waongo
304
Video zenye uhusiano
Tazama video nyingine kuhusu mada hiyo hiyo
