Na (kumbuka) Mola wako alipowaambia Malaika kuwa...
Na (kumbuka) Mola wako alipowaambia Malaika kuwa: Kwa yakini, mimi nitamuweka Khalifa ardhini. Wakasema: Hivi unamuweka humo atakayefanya uharibifu humo na kumwaga damu, na wakati sisi tunakutakasa kwa kukusifu? (Allah) Akasema: Mimi ninajua msichokijua
696
Video zenye uhusiano
Tazama video nyingine kuhusu mada hiyo hiyo