Soma uliyo funuliwa katika Kitabu, na ushike Sala. Hakika Sala inazuilia."
Soma uliyo funuliwa katika Kitabu, na ushike Sala. Hakika Sala inazuilia mambo machafu na maovu. Na kwa yakini kumtaja Allah ndilo jambo kubwa kabisa. Na Allah anayajua mnayo yatenda
1210
Video zenye uhusiano
Tazama video nyingine kuhusu mada hiyo hiyo