Kwa hakika Sisi tulikadimisha amana kwa mbingu na ardhi na milima

Kwa hakika Sisi tulikadimisha amana kwa mbingu na ardhi na milima

Kwa hakika Sisi tulikadimisha amana kwa mbingu na ardhi na milima; na vyote hivyo vikakataa kuichukua na vikaogopa. Lakini mwanaadamu akaichukua. Hakika yeye amekuwa dhaalimu mjinga

3775
Video Translations
Download
  • Hd Version ( Google Drive )
Attachments

Subscribe To Get New Updates