​Ikiwa nyinyi hamtamnusuru Mtume (Muhammad)"

​Ikiwa nyinyi hamtamnusuru Mtume (Muhammad)"

Ikiwa nyinyi hamtamnusuru Mtume (Muhammad), basi Allah alikwishamnusuru pale waliokufuru walipomtoa (walipomfukuza) akiwa mmoja kati ya wawili wakati walipokuwa kwenye pango (la mlima Thaur), wakati akimwambia Swahibawake : “Usihuzunike. Hakika, Allah yupo pamoja nasi”. Allah alimteremshia utulivu wake, na akampa nguvu kwa majeshi ambayo hamkuyaona, na akalifanya neno la waliokufuru kuwa chini sana, na Neno la Allah ndilo lililo juu zaidi. Na Allah ndiye Mwenye nguvu mno, Mwenye hekima sana

11
Video Translations
Kupakua
  • Hd Version ( Google Drive )
Viambatanisho

Video zenye uhusiano

Tazama video nyingine kuhusu mada hiyo hiyo

icon

Shiriki