Na walisema: Hatutakuamini, (ewe Muhammad), na hatutafanya."
Na walisema: Hatutakuamini, (ewe Muhammad), na hatutafanya vile unavyosema mpaka utupasulie (kwenye ardhi ya Makkah) chem-chemu ya maji yenye kupita
Au uwe na shamba lenye aina za mitende na mizabibu, na uifanye mito ni yenye kupita kati yake kwa wingi
1
Video zenye uhusiano
Tazama video nyingine kuhusu mada hiyo hiyo